Picha ya mtumiaji wa simu gizani.
Wengi wetu tumekuwa tukitumia simu zetu mwangani na gizani...
Na ni jambo jema kutumia simu kwa kuwa hufanikisha mawasiliano kwetu sisi wanadamu, na kuweza kuyafikia yale ambayo tumekuwa tumekusudia na kunuia kwa kuyafanya na hata kuyatenda katika maisha yetu ya kila siku .
Picha ya mtumiaji wa simu gizani.
Lakini katika uzi huu leo hebu tuangalie upande huu wa matumizi ya simu katika nyakati za giza kutanda uso wa dunia, na taa pia ikiwa imezimwa, ama katika mazingira ambayo hakuna mwanga kabisa kutokana na sababu kadha wa kadha.
Sasa nakukaribisha kwenye kiini cha uzi huu ili tujifunze kwa namna ya simulizi toka kwa rafiki wa huko nchi za mbali....
Mdogo wangu daktari Justice Authur, ambae ni daktari kule afrika kusini ameniomba kuwagawia hii na nyie pia. Amesema ni muhimu sana.
Hivyo usiidharau au kusita kuisoma hii.
Pale taa zinapokuwa zimezimwa usiku, usiitumie simu yako ya mkononi (smart phone)
Tafadhali sambaza kwa familia na marafiki haraka ujumbe huu.....
tabia za kutumia simu muda ule kabla ya kulala huku taa zinapokuwa zimezimwa inaweza pelekea matatizo makubwa sana.
Kwa sasa, idadi ya wagonjwa kuanzia miaka 30-40 wanatafuta matibabu makubwa. kutokana na matumizi ya simu za mkononi (smart phone) gizani.
Profesa Li Li, kiongozi wa hospitali ya macho huko singapore amesema: anasema mionzi ya moja kwa moja kwa zaidi ya dk 30 na kuendelea inaweza kusababisha mpangilio na mbadiliko wa seli macho na hivyo kusababisha saratani na kushindwa kuona kabisa.
Kupata saratani ya macho inamaanisha unasubiri kupoteza kuona kwa sababu utaalamu wa afya kwa sasa hautibu saratani hivyo ni bora tuache kutumia simu za mikononi gizani ili tujikinge.
Simu za mikononi(smartphone) zenye mwanga mweupe sana karibu na macho gizani, unabadili mfumo wa seli macho na kupelekea matatizo ya saratani ya macho.
Proffessor Li Li amesema dalili za mbadiliko wa seli macho mara nyingi wanazigundua watu wenye umri mkubwa (wazee), ila kwa hivi sasa zinagunduliwa hata na kwa vijana wadogo. Hasa kwa wenye umri wa kuanzia miaka 30-40 wanaongezeka kwa asilimia 3% na wote hawa ni watumiaji wa simu za mikononi (smartphone) kupitiliza.
Hata hivyo, kutumia simu (smartphone) gizani sio sababu ya tatizo la kupelekea saratani ya macho. Na pia kidogo inaweza sababishwa na ugonjwa wa macho makavu, mtoto wa jicho na mwisho kupelekea kupoteza kuona.
Dalili za mwanzo kama vile vipele vidogo vidogo huwa zinatibiwa kwa mionzi, sindano na madawa.
Madaktari bingwa wa macho 254 kutoka mahosipitalini profesa Li Li atoa hoja kwamba kikubwa cha muhimu ni kwamba ni kuwa mbali na tabia za kutumia simu gizani. Sababu tabia hizi za kutumia simu (smartphone) kabla ya kulala zitakusababishia matatizo ya maisha yako kwa ujumla.
Ombi kwa marafiki: ili kujiangalia sisi wenyewe na familia zetu, kwamba hakuna kuzima taa endapo unatumia simu ya mkononi. Wape taarifa haraka wote watumiaji wa simu za mikononi gizani wanaweza kupoteza kwa urahisi sana uwezo wa kuona.
Imepokelewa kutoka kwa : DMO
Na kutafsiriwa na : TWAIBU MOHAMED ALLY
Inakwnda kwa : Wananchi, familia, ndugu na marafiki wasiojua lugha ya kigeni. Tushirikiane kuisambaza kwa watu wote ujumbe huu muhimu sana
Basi hapo ndio itakuwa mwisho wa simulizi hii fupi ya "matumizi ya simu gizani"
Asante kwa kushiriki nasi katika blog yako ya *Zijue izi* katika elimu hii ya afya, tukiwa leo tunaangazia madhara yanayoweza kumpata mtumiaji wa simu akiwa katika mazingira ya giza.
Karibu tena ndugu msomaji wa Zijue izi, https://www.zijueizi.blogspot.com, Pia tunakaribisha kuchapa maoni yako hapo chini.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni