Ijumaa, 4 Novemba 2016

Huawei imekaribisha kifaa kipya, jina lake Mate 9

Huawei imezindua simu mpya yenye skrini kubwa kiasi cha inchi 5.9.
Simu hiyo lijulikanlo kwa jina la Mate 9, ni kati ya simu za kwanza zinazotumia teknolojia ya Androidi 7.
Na imekuja ikiwa katika aina mbili za kamera za nyuma simu.
Ambapo kamera moja ikiwa na migapikseli 20MP, na myingine ni migapikseli 12MP.
Vile vile simu hi ya Huawei Mate 9, imekuja na kamera ya mbele yenye uwezo wa migapikseli 8MP. 
Pia simu hii inasapoti generesheni zote za muunganiko wa mtandao kama vile 2G, 3G, 4G n.k.

Sifa kuu ya simu ya smatfoni brandi ya Huawei Mate 9.

- 5.9 inch screen, 1920 x 1080 pixel display
- HUAWEI Hisilicon 960 octa core
- 4GB RAM, 64GB ROM
- 20MP+12MP rear camera, 8.0MP front camera
OS, Android V 7.0 (Nougat)
- CPU Octa-core (4x2.4 GHz Cortex-A73 & 4x1.8 GHz Cortex-A53)
- GPU Mali-G71 MP8
- Battery Non-removable Li-Po 4000 mAh battery

Huawe Mate 9 katika muonekano tofauti









Hakuna maoni:

Chapisha Maoni